HP Software na Drivers
Baada ya kuweka window mpya katika komputa yako huwa vinahitajika vitu ili iweze kufanya kazi sawa sawa. vitu hivyo ni 'softwares na Drivers' ambazo hukusaaidia kuweka komputa yako vile utakavyo. Kwa mfano unapotaka kuongeza mwanga wa komputa yako au kuiweka komputa yako vile unavyotaka iwe.
Vitu hivi vyote huwa vimehifanyiwa katika 'CD' unayopewa baada ya kununua komputa yako. Ikitokea umepoteza CD au hauna CD unafanayaje?
Bofya hapa kama wewe unatumia komputa aina ya Hp
HP Software na Drivers
Reviewed by Unknown
on
02:21:00
Rating: