JINSI YA KUPATA INTERNET BURE

     Internet imezidi kuwa na matumizi mengi kadri siku zinavyozidi kwenda  na kasi ya matumizi inavyozidi kuongezeka ndivyo internet imezidi kuwa na kasi ndogo zaidi 

       kutokana na tatizo kuwa kubwa unaweza ukapata suluhisho la internet na ukawa na free unlimited internet. 
 ili kupata free internet inabidi uwe na pd proxy  hii ni freeware software  ambayo inatatua tatizo la internet kama utafuata maelezo ya namna ya kutumia kwa umakini.
     Tuanze kwa kujua hizi PROXY ndio nini???

Kwa maana rahisi PROXY ni software ambayo inahusika kama intermediate HUB ambayo kazi yake ni ku PROCESS informations zinazotoka kwa server, hii huweza kuwa FILE, ama WEB info....kwa waliowahi kutumia FILEZILLA wananielewa nasema nini hapa

Kwa mtu anayetumia PD-PROXY ama PROXY ni Rahisi kuficha IDENTITY yake kwa maana yeye hutumia server information details kwa hiyo user hupewa PROXIES internet protocals ....kwa maana rahisi mtu yeyote hawezi akajua uko wapi hasa (locality)...Hii pia hupendwa kutumiwa na HACKERS wanaopenda kuvamia mitandao na kuchukua data mbali mbali.

Na pia Proxy huwezesha kutumia internet Free kwa kuwa Server ndio inayoact kama NODE kwa kutoa response kwa request ambazo zinakuwa zinatumwa kutoka kwa computer, ndio maana tunasema internet free...hapa tunawatumia hawa access provider ku connect na server yenyewe huendelea kuifanya connection moja kwa moja wa server 



Unapaswa kuwa na software inaitwa PD-PROXY (iko mwisho wa maelekezo haya) ukishakuwa na hii software unachotakiwa kufanya EXTRACT moja kwa moja na iweke sehemu ya computer yako (drive D ama E ama F kadri utakavyoona wewe....Na hakikisha uweke sehemu ambayo hautaMOVE folder.

Nenda ukaji REGISTER kwa mtandao wa PD-PROXY utapata Username na Password, na ukishazipata hizo ndo unatumia kuingiza ile sehemu ya USERNAME na PASSWORD kwenye software ya PD-PROXY

KAMA UMESHAREGISTER SUCCESSFULLY

Unaingiza Username yako na Password na Baada ya hapo unachagua "DEMO SERVER" na hii hukupa wewe free 100mb na baada ya hapo ndo tunaingia upande wa connections

NAMNA YA KUFANYA CONNECTIONS

Unapotaka kufanya connections hakikisha uwe ushaconnect modem yako iliyo na LINE ya KAZI NI KWAKO na baada ya hapo CONNECT....ikishakuwa connected ndo sasa u CONNECT na PD-PROXY software na hapo sasa utasubiri mpaka iwe connected na yenyewe na baada ya kuconnect waweza tumia free mb zako 100 utakuwa unazipata kila siku ukiwa unafanya hivyo 

pia kma unataka unlimited free internet kwa mwezi unajiunga kwa tsh 12000 utapata premium account ambayo itakuwa ni free download na kuperuzi kwa mwezi hii ni kwa mtandao wowote ule unaoutumia. 



JINSI YA KUPATA INTERNET BURE JINSI YA KUPATA INTERNET BURE Reviewed by Unknown on 02:06:00 Rating: 5
Powered by Blogger.