technology mpya ya kutumia data LI-FI



1. Li-fi ina kasi mara 100 zaidi ya Wi-fi
Teknolojia mpya ya kutuma data ijulikanayo kama Li-fi imefanyiwa majaribio.
Li-fi ina uwezo wa kumfanya mtumiaji kupata huduma ya mtandao mara 100 zaidi ya Wi-Fi na hutoa kasi ya hadi Gigabait moja kwa kila sekunde.
Mbinu mpya ya kusafirisha data ambayo hutumia mwangaza badala ya mawimbi ya radio imejaribiwa.
Li-fi ina uwezo wa kumfanya mtumiaji kupata huduma ya mtandao mara 100 zaidi ya Wi-Fi na hutoa kasi ya hadi Gigabait moja kwa kila sekunde.
Li-Fi inahitaji mwangaza kama vile wa glopu,huduma ya mtandao na sensa ya picha
Ilijaribiwa wiki hii na Velmenni mjini Tallinn Estonia.
Velminni ilitumia glopu ya li-fi inayoweza kusafirisha data kwa kasi ya Gigabait moja kwa sekunde.
Jaribio la maabara limeonyesha kuwa li-fi ina kasi ya hadi Gigabait 224 kwa sekunde.
Ilijaribiwa katika afisi ili kuwasaidia wafanyikazi kupata huduma ya mtandao na katika kiwanda ambapo iliweka mwangaza.

technology mpya ya kutumia data LI-FI technology mpya ya kutumia data LI-FI Reviewed by Unknown on 01:43:00 Rating: 5
Powered by Blogger.