Jinsi ya Kutambua Original Memory card na Fake Memory Card

Memory card zimekuwa ni msaada mkubwa kwenye uhifadhi wa data zetu   kumekuwa na memory card nyingi sana mtaani lakini sio zote ni original. Unaweza nunua memory card ya 2 gb 4 gb au 8 gb na ukakuta uwezo wa memory card ni nusu ya uwezo ulioandikwa juu kwenye memory card na unaweza ukaangalia propert yake na ukaona ujazo sahihi uliopo juu kwenye sd card yako lakini inakuwa haina uwezo ule uliouona

Aina za Memory card

SDXC     Ukubwa wa 64 GB hadi 2 TB

SDHC





Ukubwa wa 4 GB hadi 32 GB

SDSC

Kamouni zimekuwa zikitngeneza memory card zenye uwezo mdogo na kuweka logo za memory original ili wapate soko


JInsi Ya Kutambua Memory Card Fake Na Original

Kwa computer 

kuna software ambazo zinarumika kutambua memory card software hizo ni kama H2testw na fake flash test 
 H2testw ndio software nzuri kwa kazi hiii kwani inaweza kutambua flash disk pia 

kwa kutumia simu 
download app inaitwa insight
weka memory card yako kweny simu na fungua app yako ya sd insight  na app inatakiwa kukupa taarifa zot muhimu kuhusu mmory card yako kama ni original au fak basi utapata kujua kwa kuwa itakupa ujazo kamili wa mmory card yako


Jinsi ya Kutambua Original Memory card na Fake Memory Card Jinsi ya Kutambua Original Memory card na Fake Memory Card Reviewed by Unknown on 11:09:00 Rating: 5
Powered by Blogger.