Whatsapp ya computer

Imezoeleka kuwa whatsapp hutumiwa kwenye smartphone pekee na ili iweze kutumika kwenye computer ni lazima uwe na program kama bluestack ambayo iko kwenye mfumo wa android hivyo unatumia bluestack kama simu kwenye computer yako na una uwezo wa kudownload whatsapp kupitia play store

Sasa whatsApp imetoa toleo jipya la computer hivyo huitaji kuwa na bluestack kwenye computer yako ili upate whatApp bali waweza download whatApp na kuinstall kwenye computer yako kama software zingine 

Click hapa kupata program ya whatsApp
https://www.whatsapp.com/download/





Whatsapp ya computer Whatsapp ya computer Reviewed by Unknown on 21:13:00 Rating: 5
Powered by Blogger.