
#iphone hadi #icar kampuni ya apple imeamua kutengeneza gari ambalo litakuwa linatumia umeme badala ya mafuta na wanategemea kumaliza project yao mwaka 2020 gari hilo litatengenezwa kwa msaada wa kampuni ya kutengeneza magari ya tesla. mpango wao huu wa technology ya gari wameupa jina la siri la project titan