Application ya kutumia WhatsApp au account mbili kwenye kifaa kimoja
Je, unajua kwamba unaweza kutumia WhatsApp number mbili kwenye simu moja? Wala usihangaike. Nenda kwenye simu yako ya "Android > Google Play Store" tafuta application inayoitwa "Parallel Space"

install hiyo application, endelea kufurahia ulimwengu wa Digital. Hauhitaji simu kubwa mbili, tatu tena, moja inatosha.
install hiyo application, endelea kufurahia ulimwengu wa Digital. Hauhitaji simu kubwa mbili, tatu tena, moja inatosha.
Application ya kutumia WhatsApp au account mbili kwenye kifaa kimoja
Reviewed by Unknown
on
09:48:00
Rating: