TV kwenye Simu

        mobdro for pc
Je, wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu, movies, habari za kitaifa na kimataifa? Je, unapata shida kuangalia yote hayo katika TV yako kwa kutumia king'amzi au je, hauwezi kulipia king'amuzi chako?
  Sasa dawa imepatikana. Unaweza kuangalia mechi live kwa kutumia simu au komputa yako kuangalia mechi upendayo bila kwenda mbali. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na kifurushi chako cha internet na mtandao uwe unashika vizuri. Kama una simu ya Android unatakiwa kuwa na "Application" iitwayo "Mobdro".


Download Hapa

Ukishaiweka kwenye simu yako, utaweza kuangalia mpira au series yoyote ile. Zaidi uwe tu na kifurushi na mtandao uwe vizuri.

Kama wewe ni mtumiaji wa komputa gonga hapa kupata maelekezo.
TV kwenye Simu TV kwenye Simu Reviewed by Unknown on 06:23:00 Rating: 5
Powered by Blogger.