TV kwenye Komputa

Technolojia inaendelea kukua, watu wanazidi kubuni vitu vizuri zaidi kuliko vile vilivyokuwepo zamani. Na sasa unaweza kuangalia mpira na programu za kwenye Tv kwa kutumia kifaa chako chochote. Kama unatumia simu ya kupapasa pofya hapa.


  Kwa wale wanaotumia komputa unatakiwa kuwa na programu kwenye komputa inayofanya kazi kama simu. Programu hiyo ina inaitwa BlueStacks
TV kwenye Komputa TV kwenye Komputa Reviewed by Unknown on 06:36:00 Rating: 5
Powered by Blogger.