BlueStacks


BlueStacks ni program ya kwenye komputa inayomwezesha mtumiaji kuweza kutumia progrmu nyingine za simu kama vile WhatSapp, instagram na programu nyingine za simu. Ilichokikosa tu ni kwamba haiwezi kupiga simu kwa njia ya kawaida, lakini kila kitu cha kwenye mtandao kinakubali.
  Kwa mfano, ipo progrmu ya "Mobdro" inayoweza kumsaidia mtumiaji kuangalia Tv kwenye mtandao.

Pakua programu hapa.
BlueStacks BlueStacks Reviewed by Unknown on 06:47:00 Rating: 5
Powered by Blogger.