Samsung Yawaomba watumiaji wa Samsung Note 7 kuacha mara moja
Tatizo la samsung Note 7 limeonekana kubwa zaid ya kubadilisha betri. Samsung note 7 zimekuwa na majanga sana kutokana na na kulipuka kwa simu hiyo. hivi kalibuni kampuni ya simu ya Samsung iliingia hasara ya kurudisha simu zaidi ya milioni 2 kwandani na kuzirekebisha kwa kubadili mabetri yake.
kutokana na tatizo la kuripuka kwa simu hizi kuna uwezekano kukawa na tatizo katika mfumo mzima wa umeme wa simu

simu za samsung Note 7 zimekuwa zikiripuka na kusababisha hasara mbalimbali . Gari hili aina ya jeep liliungua nchini Marekani pale mmiliki wa gari hili alipoacha simu yake ndani ya gari ikiwa inacharge na simu hiyo kulipuka
kutokana na tatizo hili sasa Kampuni ya samsung imeamua kutangaza rasmi kuwa watumia wa simu hizo kuacha mara moja
Samsung Note 7 ilikuwa ni simu bora zai ya Android baada ya kuingia sokoni mwaka huu mwezi wa nane ila sasa Samsung wameamua kuacha kuomba watumiaji wa simu hizi kuacha matumizi yake ili ugunduzi wa tatizo ufanyike kabla sim hazijaendelea kuletamadhara

Reviewed by Unknown
on
09:21:00
Rating: